Native Bible

Psalms 7:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya na kuna hatia mikononi mwangu,

Psalms 7:3 in English

Psalms 7:3 · Berean Standard Bible

O LORD my God, if I have done this, if injustice is on my hands,

Context

1Ee Bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia, 2la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya na kuna hatia mikononi mwangu, 4au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, au nimemnyangʼanya adui yangu pasipo sababu, 5basi adui anifuatie na kunipata, auponde uhai wangu ardhini na kunilaza mavumbini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.