Zaburi 7:4
Psalms 7:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, au nimemnyangʼanya adui yangu pasipo sababu,
Psalms 7:4 in English
Psalms 7:4 · Berean Standard Bible
if I have rewarded my ally * with evil, if I have plundered my foe without cause,
Context
2la sivyo watanirarua kama simba
na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya
na kuna hatia mikononi mwangu, 4au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami,
au nimemnyangʼanya adui yangu pasipo sababu, 5basi adui anifuatie na kunipata,
auponde uhai wangu ardhini
na kunilaza mavumbini. 6Amka kwa hasira yako, Ee Bwana,
inuka dhidi ya ghadhabu ya adui zangu.
Amka, Mungu wangu, uamue haki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.