Native Bible

Psalms 7:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa.

Psalms 7:2 in English

Psalms 7:2 · Berean Standard Bible

or they will shred my soul like a lion and tear me to pieces with no one to rescue me.

Context

1Ee Bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia, 2la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya na kuna hatia mikononi mwangu, 4au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, au nimemnyangʼanya adui yangu pasipo sababu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.