Native Bible

Psalms 7:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia,

Psalms 7:1 in English

Psalms 7:1 · Berean Standard Bible

O LORD my God, I take refuge in You; save me and deliver me from all my pursuers,

Context

1Ee Bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia, 2la sivyo watanirarua kama simba na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya na kuna hatia mikononi mwangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.