Native Bible

Psalms 7:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye achimbaye shimo na kulifukua hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe.

Psalms 7:15 in English

Psalms 7:15 · Berean Standard Bible

He has dug a hole and hollowed it out; he has fallen into a pit of his own making.

Context

13Ameandaa silaha zake kali, ameweka tayari mishale yake ya moto. 14Yeye aliye na mimba ya uovu na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo. 15Yeye achimbaye shimo na kulifukua hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe. 16Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe, ukatili wake humrudia kichwani. 17Nitamshukuru Bwana kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la Bwana Aliye Juu Sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.