Zaburi 7:13
Psalms 7:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ameandaa silaha zake kali, ameweka tayari mishale yake ya moto.
Psalms 7:13 in English
Psalms 7:13 · Berean Standard Bible
He has prepared His deadly weapons; He ordains His arrows with fire.
Context
11Mungu ni mwamuzi mwenye haki,
Mungu aghadhibikaye kila siku. 12Kama hakutuhurumia,
atanoa upanga wake,
ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 13Ameandaa silaha zake kali,
ameweka tayari mishale yake ya moto. 14Yeye aliye na mimba ya uovu
na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo. 15Yeye achimbaye shimo na kulifukua
hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.