Native Bible

Psalms 7:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama hakutuhurumia, atanoa upanga wake, ataupinda na kuufunga uzi upinde wake.

Psalms 7:12 in English

Psalms 7:12 · Berean Standard Bible

If one does not repent, God will sharpen His sword; He has bent and strung His bow.

Context

10Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo. 11Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku. 12Kama hakutuhurumia, atanoa upanga wake, ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 13Ameandaa silaha zake kali, ameweka tayari mishale yake ya moto. 14Yeye aliye na mimba ya uovu na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.