Zaburi 7:10
Psalms 7:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo.
Psalms 7:10 in English
Psalms 7:10 · Berean Standard Bible
My shield is with God, who saves the upright in heart.
Context
8Bwana na awahukumu kabila za watu.
Nihukumu Ee Bwana,
kwa kadiri ya haki yangu,
kwa kadiri ya uadilifu wangu,
Ewe Uliye Juu Sana. 9Ee Mungu mwenye haki,
uchunguzaye mawazo na mioyo,
komesha ghasia za waovu
na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 10Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana,
awaokoaye wanyofu wa moyo. 11Mungu ni mwamuzi mwenye haki,
Mungu aghadhibikaye kila siku. 12Kama hakutuhurumia,
atanoa upanga wake,
ataupinda na kuufunga uzi upinde wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.