Native Bible

Psalms 7:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana na awahukumu kabila za watu. Nihukumu Ee Bwana, kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya uadilifu wangu, Ewe Uliye Juu Sana.

Psalms 7:8 in English

Psalms 7:8 · Berean Standard Bible

The LORD judges the peoples; vindicate me, O LORD, according to my righteousness and integrity.

Context

6Amka kwa hasira yako, Ee Bwana, inuka dhidi ya ghadhabu ya adui zangu. Amka, Mungu wangu, uamue haki. 7Kusanyiko la watu na likuzunguke. Watawale kutoka juu. 8Bwana na awahukumu kabila za watu. Nihukumu Ee Bwana, kwa kadiri ya haki yangu, kwa kadiri ya uadilifu wangu, Ewe Uliye Juu Sana. 9Ee Mungu mwenye haki, uchunguzaye mawazo na mioyo, komesha ghasia za waovu na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 10Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.