Native Bible

Psalms 7:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku.

Psalms 7:11 in English

Psalms 7:11 · Berean Standard Bible

God is a righteous judge and a God who feels indignation each day.

Context

9Ee Mungu mwenye haki, uchunguzaye mawazo na mioyo, komesha ghasia za waovu na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 10Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana, awaokoaye wanyofu wa moyo. 11Mungu ni mwamuzi mwenye haki, Mungu aghadhibikaye kila siku. 12Kama hakutuhurumia, atanoa upanga wake, ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 13Ameandaa silaha zake kali, ameweka tayari mishale yake ya moto.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.