Native Bible

Psalms 7:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitamshukuru Bwana kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la Bwana Aliye Juu Sana.

Psalms 7:17 in English

Psalms 7:17 · Berean Standard Bible

I will thank the LORD for His righteousness and sing praise to the name of the LORD Most High.

Context

15Yeye achimbaye shimo na kulifukua hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe. 16Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe, ukatili wake humrudia kichwani. 17Nitamshukuru Bwana kwa ajili ya haki yake, na nitaliimbia sifa jina la Bwana Aliye Juu Sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.