Zaburi 7:16
Psalms 7:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe, ukatili wake humrudia kichwani.
Psalms 7:16 in English
Psalms 7:16 · Berean Standard Bible
His trouble recoils on himself, and his violence falls on his own head.
Context
14Yeye aliye na mimba ya uovu
na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo. 15Yeye achimbaye shimo na kulifukua
hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe. 16Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe,
ukatili wake humrudia kichwani. 17Nitamshukuru Bwana kwa ajili ya haki yake,
na nitaliimbia sifa jina la Bwana Aliye Juu Sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.