Zaburi 68:11
Psalms 68:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana alitangaza neno, waliolitangaza neno hilo walikuwa kundi kubwa:
Psalms 68:11 in English
Psalms 68:11 · Berean Standard Bible
The Lord gives the command; a great company of women proclaim it:
Context
9Ee Mungu, ulinyesha mvua nyingi
na kuiburudisha ardhi iliyokuwa imechoka. 10Ee Mungu, watu wako waliishi huko,
nawe kwa wingi wa utajiri wako
uliwapa maskini mahitaji yao. 11Bwana alitangaza neno,
waliolitangaza neno hilo walikuwa kundi kubwa: 12“Wafalme na majeshi walikimbia upesi,
watu waliobaki kambini waligawana nyara. 13Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini,
mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha,
manyoya yake kwa dhahabu ingʼaayo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.