Native Bible

Psalms 68:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, watu waliobaki kambini waligawana nyara.

Psalms 68:12 in English

Psalms 68:12 · Berean Standard Bible

“Kings and their armies flee in haste; she who waits at home divides the plunder.

Context

10Ee Mungu, watu wako waliishi huko, nawe kwa wingi wa utajiri wako uliwapa maskini mahitaji yao. 11Bwana alitangaza neno, waliolitangaza neno hilo walikuwa kundi kubwa: 12“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, watu waliobaki kambini waligawana nyara. 13Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini, mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, manyoya yake kwa dhahabu ingʼaayo.” 14Wakati Mwenyezi* alipowatawanya wafalme katika nchi, ilikuwa kama theluji iliyoanguka juu ya Salmoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.