Zaburi 68:13
Psalms 68:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini, mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha, manyoya yake kwa dhahabu ingʼaayo.”
Psalms 68:13 in English
Psalms 68:13 · Berean Standard Bible
Though you lie down among the sheepfolds, the wings of the dove are covered with silver, and her feathers with shimmering gold.”
Context
11Bwana alitangaza neno,
waliolitangaza neno hilo walikuwa kundi kubwa: 12“Wafalme na majeshi walikimbia upesi,
watu waliobaki kambini waligawana nyara. 13Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini,
mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha,
manyoya yake kwa dhahabu ingʼaayo.” 14Wakati Mwenyezi* alipowatawanya wafalme katika nchi,
ilikuwa kama theluji iliyoanguka juu ya Salmoni. 15Milima ya Bashani ni milima iliyotukuka,
milima ya Bashani ina vilele vilivyochongoka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.