Native Bible

Psalms 65:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Heri wale uliowachagua na kuwaleta karibu ili waishi katika nyua zako! Tunashibishwa kwa mema ya nyumba yako, mema ya Hekalu lako takatifu.

Psalms 65:4 in English

Psalms 65:4 · Berean Standard Bible

Blessed is the one You choose and bring near to dwell in Your courts! We are filled with the goodness of Your house, the holiness of Your temple.

Context

2Ewe usikiaye maombi, kwako wewe watu wote watakuja. 3Tulipokuwa tumefunikwa kabisa na dhambi, wewe ulisamehe makosa yetu. 4Heri wale uliowachagua na kuwaleta karibu ili waishi katika nyua zako! Tunashibishwa kwa mema ya nyumba yako, mema ya Hekalu lako takatifu. 5Unatujibu kwa matendo ya kushangaza ya haki, Ee Mungu Mwokozi wetu, tumaini la miisho yote ya duniani na la bahari zilizo mbali sana, 6uliyeumba milima kwa uwezo wako, ukiwa umejivika nguvu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.