Native Bible

Psalms 64:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali Mungu atawapiga kwa mishale, nao ghafula wataangushwa.

Psalms 64:7 in English

Psalms 64:7 · Berean Standard Bible

But God will shoot them with arrows; suddenly they will be wounded.

Context

5Kila mmoja humtia moyo mwenzake katika mipango mibaya; huzungumza juu ya kuficha mitego yao, nao husema, “Ni nani ataiona?” 6Hufanya shauri baya la dhuluma na kusema, “Tumebuni mpango mkamilifu!” Hakika nia na moyo wa mwanadamu vina hila. 7Bali Mungu atawapiga kwa mishale, nao ghafula wataangushwa. 8Atageuza ndimi zao wenyewe dhidi yao na kuwaleta kwenye maangamizi; wote wawaonao watatikisa vichwa vyao kwa dharau. 9Wanadamu wote wataogopa, watatangaza kazi za Mungu na kutafakari yale aliyoyatenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.