Native Bible

Psalms 64:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanadamu wote wataogopa, watatangaza kazi za Mungu na kutafakari yale aliyoyatenda.

Psalms 64:9 in English

Psalms 64:9 · Berean Standard Bible

Then all mankind will fear and proclaim the work of God; so they will ponder what He has done.

Context

7Bali Mungu atawapiga kwa mishale, nao ghafula wataangushwa. 8Atageuza ndimi zao wenyewe dhidi yao na kuwaleta kwenye maangamizi; wote wawaonao watatikisa vichwa vyao kwa dharau. 9Wanadamu wote wataogopa, watatangaza kazi za Mungu na kutafakari yale aliyoyatenda. 10Wenye haki na wafurahi katika Bwana, na wakimbilie kwake; wanyofu wote wa moyo na wamsifu yeye!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.