Native Bible

Psalms 64:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hurusha mishale kutoka kwenye mavizio kwa mtu asiye na hatia, humrushia ghafula bila woga.

Psalms 64:4 in English

Psalms 64:4 · Berean Standard Bible

ambushing the innocent in seclusion, shooting suddenly, without fear.

Context

2Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu, kutokana na zile kelele za kundi la watenda mabaya. 3Wananoa ndimi zao kama panga na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha. 4Hurusha mishale kutoka kwenye mavizio kwa mtu asiye na hatia, humrushia ghafula bila woga. 5Kila mmoja humtia moyo mwenzake katika mipango mibaya; huzungumza juu ya kuficha mitego yao, nao husema, “Ni nani ataiona?” 6Hufanya shauri baya la dhuluma na kusema, “Tumebuni mpango mkamilifu!” Hakika nia na moyo wa mwanadamu vina hila.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.