Zaburi 64:3
Psalms 64:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wananoa ndimi zao kama panga na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha.
Psalms 64:3 in English
Psalms 64:3 · Berean Standard Bible
who sharpen their tongues like swords and aim their bitter words like arrows,
Context
1Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu,
uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui. 2Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu,
kutokana na zile kelele za kundi la watenda mabaya. 3Wananoa ndimi zao kama panga
na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha. 4Hurusha mishale kutoka kwenye mavizio kwa mtu asiye na hatia,
humrushia ghafula bila woga. 5Kila mmoja humtia moyo mwenzake
katika mipango mibaya;
huzungumza juu ya kuficha mitego yao,
nao husema, “Ni nani ataiona?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.