Native Bible

Psalms 64:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu, uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui.

Psalms 64:1 in English

Psalms 64:1 · Berean Standard Bible

Hear, O God, my voice of complaint; preserve my life from dread of the enemy.

Context

1Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu, uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui. 2Unifiche kutokana na shauri la siri la waovu, kutokana na zile kelele za kundi la watenda mabaya. 3Wananoa ndimi zao kama panga na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.