Zaburi 62:7
Psalms 62:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, ndiye mwamba wangu wenye nguvu na kimbilio langu.
Psalms 62:7 in English
Psalms 62:7 · Berean Standard Bible
My salvation and my honor rest on God, my strong rock; my refuge is in God.
Context
5Ee nafsi yangu, upumzike, kwa Mungu peke yake,
tumaini langu latoka kwake. 6Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu;
ndiye ngome yangu, sitatikisika. 7Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu,
ndiye mwamba wangu wenye nguvu
na kimbilio langu. 8Enyi watu, mtumainini yeye wakati wote,
miminieni mioyo yenu kwake,
kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu. 9Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu,
nao wa ngazi ya juu ni uongo tu;
wakipimwa kwenye mizani, si chochote;
wote kwa pamoja ni pumzi tu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.