Native Bible

Psalms 62:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; ndiye ngome yangu, sitatikisika.

Psalms 62:6 in English

Psalms 62:6 · Berean Standard Bible

He alone is my rock and my salvation; He is my fortress; I will not be shaken.

Context

4Walikusudia kikamilifu kumwangusha toka mahali pake pa fahari; wanafurahia uongo. Kwa vinywa vyao hubariki, lakini ndani ya mioyo yao hulaani. 5Ee nafsi yangu, upumzike, kwa Mungu peke yake, tumaini langu latoka kwake. 6Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; ndiye ngome yangu, sitatikisika. 7Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, ndiye mwamba wangu wenye nguvu na kimbilio langu. 8Enyi watu, mtumainini yeye wakati wote, miminieni mioyo yenu kwake, kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.