Zaburi 61:3
Psalms 61:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu, ngome imara dhidi ya adui.
Psalms 61:3 in English
Psalms 61:3 · Berean Standard Bible
For You have been my refuge, a tower of strength against the enemy.
Context
1Ee Mungu, sikia kilio changu,
usikilize maombi yangu. 2Kutoka miisho ya dunia ninakuita,
ninaita huku moyo wangu unadhoofika;
uniongoze kwenye mwamba
ule ulio juu kuliko mimi. 3Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu,
ngome imara dhidi ya adui. 4Natamani kukaa hemani mwako milele,
na kukimbilia chini ya uvuli wa mbawa zako. 5Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu,
umenipa urithi wa wale wanaoliogopa jina lako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.