Native Bible

Psalms 61:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka miisho ya dunia ninakuita, ninaita huku moyo wangu unadhoofika; uniongoze kwenye mwamba ule ulio juu kuliko mimi.

Psalms 61:2 in English

Psalms 61:2 · Berean Standard Bible

From the ends of the earth I call out to You whenever my heart is faint. Lead me to the rock that is higher than I.

Context

1Ee Mungu, sikia kilio changu, usikilize maombi yangu. 2Kutoka miisho ya dunia ninakuita, ninaita huku moyo wangu unadhoofika; uniongoze kwenye mwamba ule ulio juu kuliko mimi. 3Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu, ngome imara dhidi ya adui. 4Natamani kukaa hemani mwako milele, na kukimbilia chini ya uvuli wa mbawa zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.