Native Bible

Psalms 59:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sijatenda kosa; hata hivyo wako tayari kunishambulia. Inuka unisaidie, uone hali yangu mbaya!

Psalms 59:4 in English

Psalms 59:4 · Berean Standard Bible

For no fault of my own, they move swiftly to attack me. Arise to help me, and take notice.

Context

2Uniponye na watu watendao mabaya, uniokoe kutokana na wamwagao damu. 3Tazama wanavyonivizia! Watu wakali wananifanyia hila, ingawa Ee Bwana, mimi sijakosea wala kutenda dhambi. 4Sijatenda kosa; hata hivyo wako tayari kunishambulia. Inuka unisaidie, uone hali yangu mbaya! 5Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli! Zinduka uyaadhibu mataifa yote, usionyeshe huruma kwa wasaliti. 6Hurudi wakati wa jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.