Native Bible

Psalms 59:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama wanavyonivizia! Watu wakali wananifanyia hila, ingawa Ee Bwana, mimi sijakosea wala kutenda dhambi.

Psalms 59:3 in English

Psalms 59:3 · Berean Standard Bible

See how they lie in wait for me. Fierce men conspire against me for no transgression or sin of my own, O LORD.

Context

1Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu. 2Uniponye na watu watendao mabaya, uniokoe kutokana na wamwagao damu. 3Tazama wanavyonivizia! Watu wakali wananifanyia hila, ingawa Ee Bwana, mimi sijakosea wala kutenda dhambi. 4Sijatenda kosa; hata hivyo wako tayari kunishambulia. Inuka unisaidie, uone hali yangu mbaya! 5Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli! Zinduka uyaadhibu mataifa yote, usionyeshe huruma kwa wasaliti.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.