Native Bible

Psalms 59:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uniponye na watu watendao mabaya, uniokoe kutokana na wamwagao damu.

Psalms 59:2 in English

Psalms 59:2 · Berean Standard Bible

Deliver me from workers of iniquity, and save me from men of bloodshed.

Context

1Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu. 2Uniponye na watu watendao mabaya, uniokoe kutokana na wamwagao damu. 3Tazama wanavyonivizia! Watu wakali wananifanyia hila, ingawa Ee Bwana, mimi sijakosea wala kutenda dhambi. 4Sijatenda kosa; hata hivyo wako tayari kunishambulia. Inuka unisaidie, uone hali yangu mbaya!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.