Native Bible

Psalms 59:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu.

Psalms 59:1 in English

Psalms 59:1 · Berean Standard Bible

Deliver me from my enemies, O my God; protect me from those who rise against me.

Context

1Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu. 2Uniponye na watu watendao mabaya, uniokoe kutokana na wamwagao damu. 3Tazama wanavyonivizia! Watu wakali wananifanyia hila, ingawa Ee Bwana, mimi sijakosea wala kutenda dhambi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.