Native Bible

Psalms 58:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao; Ee Bwana, vunja meno makali ya hao simba!

Psalms 58:6 in English

Psalms 58:6 · Berean Standard Bible

O God, shatter their teeth in their mouths; O LORD, tear out the fangs of the lions.

Context

4Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake, 5ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi, hata kama mganga angecheza kwa ustadi kiasi gani. 6Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao; Ee Bwana, vunja meno makali ya hao simba! 7Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi, wavutapo pinde zao, mishale yao na iwe butu. 8Kama konokono ayeyukavyo akitembea, kama mtoto aliyezaliwa akiwa mfu, wasilione jua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.