Native Bible

Psalms 58:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi, hata kama mganga angecheza kwa ustadi kiasi gani.

Psalms 58:5 in English

Psalms 58:5 · Berean Standard Bible

refusing to hear the tune of the charmer who skillfully weaves his spell.

Context

3Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao, toka tumboni mwa mama zao ni wakaidi na husema uongo. 4Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake, 5ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi, hata kama mganga angecheza kwa ustadi kiasi gani. 6Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao; Ee Bwana, vunja meno makali ya hao simba! 7Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi, wavutapo pinde zao, mishale yao na iwe butu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.