Zaburi 55:18
Psalms 55:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huniokoa nikawa salama katika vita vilivyopangwa dhidi yangu, ingawa watu wengi hunipinga.
Psalms 55:18 in English
Psalms 55:18 · Berean Standard Bible
He redeems my soul in peace from the battle waged against me, even though many oppose me.
Context
16Lakini ninamwita Mungu,
naye Bwana huniokoa. 17Jioni, asubuhi na adhuhuri
ninalia kwa huzuni,
naye husikia sauti yangu. 18Huniokoa nikawa salama katika vita
vilivyopangwa dhidi yangu,
ingawa watu wengi hunipinga. 19Mungu anayemiliki milele,
atawasikia na kuwaadhibu,
watu ambao hawabadilishi njia zao,
wala hawana hofu ya Mungu. 20Mwenzangu hushambulia rafiki zake,
naye huvunja agano lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.