Zaburi 55:16
Psalms 55:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini ninamwita Mungu, naye Bwana huniokoa.
Psalms 55:16 in English
Psalms 55:16 · Berean Standard Bible
But I call to God, and the LORD saves me.
Context
14ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri,
tulipokuwa tukienda na umati hekaluni mwa Mungu. 15Kifo na kiwajie adui zangu ghafula,
na washuke kuzimu wangali hai,
kwa maana uovu upo ndani yao. 16Lakini ninamwita Mungu,
naye Bwana huniokoa. 17Jioni, asubuhi na adhuhuri
ninalia kwa huzuni,
naye husikia sauti yangu. 18Huniokoa nikawa salama katika vita
vilivyopangwa dhidi yangu,
ingawa watu wengi hunipinga.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.