Native Bible

Psalms 55:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu anayemiliki milele, atawasikia na kuwaadhibu, watu ambao hawabadilishi njia zao, wala hawana hofu ya Mungu.

Psalms 55:19 in English

Psalms 55:19 · Berean Standard Bible

God will hear and humiliate them— the One enthroned for the ages— Selah because they do not change and they have no fear of God.

Context

17Jioni, asubuhi na adhuhuri ninalia kwa huzuni, naye husikia sauti yangu. 18Huniokoa nikawa salama katika vita vilivyopangwa dhidi yangu, ingawa watu wengi hunipinga. 19Mungu anayemiliki milele, atawasikia na kuwaadhibu, watu ambao hawabadilishi njia zao, wala hawana hofu ya Mungu. 20Mwenzangu hushambulia rafiki zake, naye huvunja agano lake. 21Mazungumzo yake ni laini kama siagi, hata hivyo vita vimo moyoni mwake. Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, hata hivyo ni upanga mkali uliofutwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.