Zaburi 51:5
Psalms 51:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi, mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu.
Psalms 51:5 in English
Psalms 51:5 · Berean Standard Bible
Surely I was brought forth in iniquity; I was sinful when my mother conceived me.
Context
3Kwa maana ninajua makosa yangu,
na dhambi yangu iko mbele yangu daima. 4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi
na kufanya yaliyo mabaya machoni pako,
ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo,
na kuwa na haki utoapo hukumu. 5Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi,
mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu. 6Hakika wewe wapendezwa na kweli itokayo moyoni,
ndani sana ya moyo wangu wanifundisha hekima. 7Nioshe kwa hisopo, nami nitakuwa safi,
unisafishe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.