Native Bible

Psalms 51:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana ninajua makosa yangu, na dhambi yangu iko mbele yangu daima.

Psalms 51:3 in English

Psalms 51:3 · Berean Standard Bible

For I know my transgressions, and my sin is always before me.

Context

1Ee Mungu, unihurumie, kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, kwa kadiri ya huruma yako kuu, uyafute makosa yangu. 2Unioshe na uovu wangu wote na unitakase dhambi yangu. 3Kwa maana ninajua makosa yangu, na dhambi yangu iko mbele yangu daima. 4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, na kuwa na haki utoapo hukumu. 5Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi, mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.