Native Bible

Psalms 51:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unioshe na uovu wangu wote na unitakase dhambi yangu.

Psalms 51:2 in English

Psalms 51:2 · Berean Standard Bible

Wash me clean of my iniquity and cleanse me from my sin.

Context

1Ee Mungu, unihurumie, kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, kwa kadiri ya huruma yako kuu, uyafute makosa yangu. 2Unioshe na uovu wangu wote na unitakase dhambi yangu. 3Kwa maana ninajua makosa yangu, na dhambi yangu iko mbele yangu daima. 4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, na kuwa na haki utoapo hukumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.