Zaburi 51:7
Psalms 51:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nioshe kwa hisopo, nami nitakuwa safi, unisafishe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji.
Psalms 51:7 in English
Psalms 51:7 · Berean Standard Bible
Purify me with hyssop, and I will be clean; wash me, and I will be whiter than snow.
Context
5Hakika mimi nilizaliwa mwenye dhambi,
mwenye dhambi tangu nilipotungwa mimba kwa mama yangu. 6Hakika wewe wapendezwa na kweli itokayo moyoni,
ndani sana ya moyo wangu wanifundisha hekima. 7Nioshe kwa hisopo, nami nitakuwa safi,
unisafishe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji. 8Unipe kusikia furaha na shangwe,
mifupa uliyoiponda na ifurahi. 9Ufiche uso wako usizitazame dhambi zangu,
na uufute uovu wangu wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.