Zaburi 51:8
Psalms 51:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unipe kusikia furaha na shangwe, mifupa uliyoiponda na ifurahi.
Psalms 51:8 in English
Psalms 51:8 · Berean Standard Bible
Let me hear joy and gladness; let the bones You have crushed rejoice.
Context
6Hakika wewe wapendezwa na kweli itokayo moyoni,
ndani sana ya moyo wangu wanifundisha hekima. 7Nioshe kwa hisopo, nami nitakuwa safi,
unisafishe, nami nitakuwa mweupe kuliko theluji. 8Unipe kusikia furaha na shangwe,
mifupa uliyoiponda na ifurahi. 9Ufiche uso wako usizitazame dhambi zangu,
na uufute uovu wangu wote. 10Ee Mungu, uniumbie moyo safi,
uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.