Native Bible

Psalms 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe si Mungu unayefurahia uovu, kwako mtu mwovu hataishi.

Psalms 5:4 in English

Psalms 5:4 · Berean Standard Bible

For You are not a God who delights in wickedness; no evil can dwell with You.

Context

2Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba. 3Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Bwana; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini. 4Wewe si Mungu unayefurahia uovu, kwako mtu mwovu hataishi. 5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, unawachukia wote watendao mabaya. 6Unawaangamiza wasemao uongo. Bwana huwachukia wamwagao damu na wadanganyifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.