Native Bible

Psalms 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unawaangamiza wasemao uongo. Bwana huwachukia wamwagao damu na wadanganyifu.

Psalms 5:6 in English

Psalms 5:6 · Berean Standard Bible

You destroy those who tell lies; the LORD abhors the man of bloodshed and deceit.

Context

4Wewe si Mungu unayefurahia uovu, kwako mtu mwovu hataishi. 5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, unawachukia wote watendao mabaya. 6Unawaangamiza wasemao uongo. Bwana huwachukia wamwagao damu na wadanganyifu. 7Lakini mimi, kwa rehema zako kuu, nitakuja katika nyumba yako, kwa unyenyekevu, nitasujudu kuelekea Hekalu lako takatifu. 8Niongoze katika haki yako, Ee Bwana, kwa sababu ya adui zangu, nyoosha njia yako mbele yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.