Native Bible

Psalms 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mimi, kwa rehema zako kuu, nitakuja katika nyumba yako, kwa unyenyekevu, nitasujudu kuelekea Hekalu lako takatifu.

Psalms 5:7 in English

Psalms 5:7 · Berean Standard Bible

But I will enter Your house by the abundance of Your loving devotion;* in reverence I will bow down toward Your holy temple.

Context

5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, unawachukia wote watendao mabaya. 6Unawaangamiza wasemao uongo. Bwana huwachukia wamwagao damu na wadanganyifu. 7Lakini mimi, kwa rehema zako kuu, nitakuja katika nyumba yako, kwa unyenyekevu, nitasujudu kuelekea Hekalu lako takatifu. 8Niongoze katika haki yako, Ee Bwana, kwa sababu ya adui zangu, nyoosha njia yako mbele yangu. 9Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika, mioyo yao imejaa maangamizi. Koo lao ni kaburi lililo wazi, kwa ndimi zao, wao hunena udanganyifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.