Zaburi 5:2
Psalms 5:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba.
Psalms 5:2 in English
Psalms 5:2 · Berean Standard Bible
Attend to the sound of my cry, my King and my God, for to You I pray.
Context
1Ee Bwana, tegea sikio maneno yangu,
uangalie kupiga kite kwangu. 2Sikiliza kilio changu ili unisaidie,
Mfalme wangu na Mungu wangu,
kwa maana kwako ninaomba. 3Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Bwana;
asubuhi naleta haja zangu mbele zako,
na kusubiri kwa matumaini. 4Wewe si Mungu unayefurahia uovu,
kwako mtu mwovu hataishi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.