Native Bible

Psalms 5:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, tegea sikio maneno yangu, uangalie kupiga kite kwangu.

Psalms 5:1 in English

Psalms 5:1 · Berean Standard Bible

Give ear to my words, O LORD; consider my groaning.

Context

1Ee Bwana, tegea sikio maneno yangu, uangalie kupiga kite kwangu. 2Sikiliza kilio changu ili unisaidie, Mfalme wangu na Mungu wangu, kwa maana kwako ninaomba. 3Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Bwana; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.