Native Bible

Psalms 46:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njooni mkaone kazi za Bwana jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.

Psalms 46:8 in English

Psalms 46:8 · Berean Standard Bible

Come, see the works of the LORD, who brings devastation upon the earth.

Context

6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 7Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu. 8Njooni mkaone kazi za Bwana jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi. 9Anakomesha vita hata miisho ya dunia, anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, anateketeza ngao kwa moto. 10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; nitatukuzwa katikati ya mataifa, nitatukuzwa katika dunia.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.