Native Bible

Psalms 46:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka.

Psalms 46:6 in English

Psalms 46:6 · Berean Standard Bible

Nations rage, kingdoms crumble; the earth melts when He lifts His voice.

Context

4Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. 5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema. 6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 7Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu. 8Njooni mkaone kazi za Bwana jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.