Native Bible

Psalms 46:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema.

Psalms 46:5 in English

Psalms 46:5 · Berean Standard Bible

God is within her; she will not be moved. God will help her when morning dawns.

Context

3Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka, milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake. 4Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. 5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema. 6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 7Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.