Zaburi 46:3
Psalms 46:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka, milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake.
Psalms 46:3 in English
Psalms 46:3 · Berean Standard Bible
though their waters roar and foam and the mountains quake in the surge. Selah
Context
1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,
msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 2Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama dunia ikiondolewa
nayo milima ikiangukia moyoni mwa bahari. 3Hata kama maji yake yatanguruma na kuumuka,
milima nayo ikitetemeka kwa mawimbi yake. 4Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu,
mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. 5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka,
Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.