Native Bible

Psalms 46:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Anakomesha vita hata miisho ya dunia, anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, anateketeza ngao kwa moto.

Psalms 46:9 in English

Psalms 46:9 · Berean Standard Bible

He makes wars to cease throughout the earth; He breaks the bow and shatters the spear; He burns the shields * in the fire.

Context

7Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni ngome yetu. 8Njooni mkaone kazi za Bwana jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi. 9Anakomesha vita hata miisho ya dunia, anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, anateketeza ngao kwa moto. 10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; nitatukuzwa katikati ya mataifa, nitatukuzwa katika dunia.” 11Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi; Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.