Zaburi 46:10
Psalms 46:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; nitatukuzwa katikati ya mataifa, nitatukuzwa katika dunia.”
Psalms 46:10 in English
Psalms 46:10 · Berean Standard Bible
“Be still and know that I am God; I will be exalted among the nations, I will be exalted over the earth.”
Context
8Njooni mkaone kazi za Bwana
jinsi alivyofanya ukiwa katika nchi. 9Anakomesha vita hata miisho ya dunia,
anakata upinde na kuvunjavunja mkuki,
anateketeza ngao kwa moto. 10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu;
nitatukuzwa katikati ya mataifa,
nitatukuzwa katika dunia.” 11Bwana Mwenye Nguvu Zote yu pamoja nasi;
Mungu wa Yakobo ni ngome yetu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.